Habari za Punde

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage Afungua Kikao Kazi na Wasimamizi wa Uchaguzi Nchini.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji  Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi na Wasimamizi wa Uchaguzi kilichofanyika leo Julai 24,2020 Jijini  Dodoma. Wasimamizi hao ni kutoka Halmashauri zote za Tanzania Bara
Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 wakimsikiliza  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha wasimamizi wa uchaguzi nchini, iliyofanyika Jijini Dodoma leo Julai 24,2020 . 

(Picha na NEC)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.