SHIRIKA LA UMEME ZANZIBAR (ZECO)
TAARIFA YA MABORESHO YA UMEME LAINI YA KILIMAHEWA
Shirika la Umeme Zanzibar (zeco) linawataarifu wateja wake wa line ya KilimaHewa kuwa kutakua na maboresho ya line kubwa ya umeme kwa kubadilisha nguzo kama ifuatavyo:-
Tarehe: 09/07/2020
siku: Alkhamisi
muda: saa 3:00 Asubuhi hadi saa 11:30 jioni
line: Line ya Kilima Hewa.
Sababu: matengenezo ya laini kubwa
Maeneo yatakayokosa umeme ni Maeneo ya Welezo, Amani viwanda vidogo vidogo, Kilimahewa, Ziwatuwe, Magogoni, Taveta na Tomondo.
Usisite kuwasiliana nasi huduma ya simu kwa wateja 0772877879 whatsapp 0772877879
No comments:
Post a Comment