Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Azindua Jengo la Mpanda Plaza.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la Mpanda Plaza ambalo ni kitegauchumi cha Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), mjini Mpanda, Julai 4, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe, kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homela na wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dkt. Maulid Banyani.
Jengo la Mpanda Palaza ambalo ni kitegauchumi cha Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) limezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Mpanda, Julai 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.