Habari za Punde

Zoezi ya Uimarishaji wa Miundombinu ya Barabara za Ndani Eneo la Barabara ya Ndani Sharifu Msaa Kupitia Mnyanya hadi Bububu Skuli Umeaza Ujenzi Huo. Kisasa

Mradi wa Ujenzi wa barabara za ndani katika maeneo mbalimbali Zanzibar ukiendelea na ujenzi huo kuimarisha miundombinu ya barabara katika maeneo ya Jiji la Zanzibar, kama inavyoonekana pichani maandalizi ya ujenzi wa barabara ya ndani kutoka Sharifu msa kupitia mwanyanya ikiaza maandali ya ujenzi huo hadi kutokeo bububu skuli.
Kama inavyoonekana baadhi ya nyumba tayari zibomolewa sehemu iliokuwa imeingia katika eneo la kupita barabara hiyo.    No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.