Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Shein Ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Afisi Kuu Kisiwandui Jijini Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 15/8/2020.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri  Kuu ya CCM Taifa Ndg, Vuai , alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 15/8/2020, katika ukumbi huo
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Zanzibar, wakiwa wamesimama wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa Kikao Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi, akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanytika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, 
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi, akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanytika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, (kulia) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati akikifungua Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashari Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar na (kulia  kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma 
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akifungu Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.