Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe Jaji Mkuu Mstaaf Hamid Mahmoud Hamid akimkabidhi Fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AFP) Mhe. Said Soud, alipofika Ofisi za Tume Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya uchukuaji wa Fomu.
ASANTENI WANA RUANGWA -MAJALIWA
-
WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2,
2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya
kulitum...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment