Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Dkt, Maudline Castico, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Jumuiya ya Kusaidia Wanawake Wajane Zanzibar (ZAWIO) uliofanyika katika ukumbi wa Wasanii Rahaleo Jijini Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano wa Mkuu wa Kwanza Jumuiya ya Kuwasaidia Wanawake Wajane Zanzibar (ZAWIO) uliofanyika katika ukumbi wa Wasanii Rahaleo Jijini Zanzibar wakimfuatilia hutuba ya ufunguzi wa mkutano huo wakati Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Dkt.Maudline Castico.
Habari, tunahitaji kujiunga na chama , tunaomba kujuw utaratibu ukoje, na wap ofisi ilipo
ReplyDeleteNataka Nijiunge na mie jamn
ReplyDeleteHabari, tunahitaji kujiunga na chama , tunaomba kujuw utaratibu ukoje, na wap ofisi ilipo
ReplyDelete