Habari za Punde

Rais Dr Shein akutana na uongozi wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na Ikulu] 16/08/2020. 
 Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi SMZ wakiwa  katika Kikao cha Uongozi cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,cha Utekelezaji Mpango kazi kwa mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 16/08/2020.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akiwa na Watendaji katika Wizara ya  Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 16/08/2020.

 Washauri wa Vikosi vya SMZ pamoja na Maafisa wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa mwaka 2020/2021 cha  Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 16/08/2020.
  Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir  akisoma taarifa ya  Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021  wakati wa Kikao  cha siku moja  kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Shamata Shaame Khamis.[Picha na Ikulu] 16/08/2020.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati)  akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021, kilichofanyika  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 16/08/2020
Maofisa katika Vikosi vya SMZ wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 cha  Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,  kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 16/08/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.