Habari za Punde

Wagombea Ubunge Kupitia CCM Wachukua Fomu za Kugombea Nafasi hizo Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC .

Wagombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi wakiwa na Fomu zao baada ya kukabidhia wakiwa nje ya Jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Taifa  Tanzania (NEC) Zanzibar, kutoka kushoto Mgombea Ubunge Jimbo la Dimani Ndg. Mustafa Mwinyikondo, Mgombea Ubunge Jimbo la Mwanakwerekwe.Ndg.Kassim Hassan Haji, Mgombea Ubunge Jimbo la Fuoni Ndg. Abass Ali HassanMgombea Ubunge Jimbo la Kiembesamaki Ndg. Mohammed Maulid Ali na Mgombea Ubunge Jimbo la Pangawe Ndg. Haji Amour Haji. 
Mgombea Ubunge Jimbo la Malindi Zanzibar  kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed S.Omar akikabidhiwa Fomu ya kugombea Ubunge kutoka kwa Afisa wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Tanzania (NEC) Zanzibar.
Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzin Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Ndg. Hamad Masauni Yussuf akikabidhiwa fomu za kugombea Ubunge na Afisa wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Tanzania (NEC) zilioko Zanzibar.
 Mgombea Ubengi kupitia Chama Cha Mapinduzin Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Ndg. Ali Hassan Omar (King) akikabidhiwa fomu za kugombea Ubunge na Afisa wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Tanzania (NEC) zilioko Zanzibar. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.