Habari za Punde

DKT. ZAINABU CHAULA AZINDUA MINARA YA MAWASILIANO WILAYANI CHATO *AsemaMawasilianoniuchumi, maendeleo, uwekezajinahuduma *Atoa rai kwawananchikutumiamawasilianokudumishaamaninamshikamano


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (wa kwanza kulia), akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano wa Igando Mkoani Geita. wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mhandisi Charles Kabeho na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, Waziri Kindamba.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akimsikiliza kwa makini Meneja Mipango Mtandao wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, Mhandisi Innocent Msasi akitoa maelezo kuhusu mnara wa mawasiliano wa Naybilezi, Geita baada ya kuzinduliwa rasmi na Katibu Mkuu huyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Chato, Denis Bandisa baada ya kuzindua mnara wa mawasiliano wa Igando Mkoani humo. Anayesikiliza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mhandisi Charles Kabeho

Na Prisca Ulomi, WUUM, Chato
KatibuMkuuwaWizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano (SektayaMawasiliano), Dkt.ZainabuChaulaamezinduaminaramiwiliyamawasilianoiliyopokwenyekijiiji cha NyabilezinaIgandovilivyopowilayaniChatomkoaniGeitailikuwawezeshawananchikupatahuduma za mawasiliano

Dkt. Chaulaamesemakuwaujenziwaminarahiyoumefanyikakwenyevijijihivyobaadayawananchikuombahuduma za mawasilianonaSerikalikujiridhishakuwamawasilianohayapokwenyemaeneohayonakuamuakujengaminarahiyokwakutumiaruzukuyaSerikalikupitiaMfukowaMawasilianokwaWote (UCSAF) ambapoujenzi wake umegharimuzaidiyashilingimilionimiatano

Ameongezakuwalengo la Serikalinikuhakikishakuwawananchiwanapatahuduma za mawasilianokwakuwamawasilianoniuchuminaSerikaliimefanyauwekezajimkubwakwakujengaMkongowaTaifawaMawasilianoambao nisawanabarabarakuukwaajiliyakupitishayauhakikanakwawakatiambapominarahiyoimeunganishwakwenyeMkongohuoilikuwezakuwapatiawananchihuduma

NayeKatibuTawalawaMkoamwaGeita, Denis Bandesiamesemakuwamiundombinuyamawasilianoambayoimewekwakwenyemaeneohayoitawasaidiawananchikufanyamawasilianonakuendeshabiasharazaoilikuhakikishakuwauchumiwakatiunamgusamwananchi pale alipokwamaanauzalishajiatakaokuwaameufanyaatakuwanauhakikawapiapelekebiasharayakekwamaanayauhakikawabeinzurimahalisokolililopo

MkurugenziMkuuwaShirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindambaamewatakawananchikuchangamkiafursayakuwamawakalawahuduma za mawasilianowaShirikahilokwakuwa TTCL inatoakamishenimarambiliyakampuninyingine za mawasilianonafedhainayopatikanainarudiSerikalininaameombawananchiwailindemiundombinuhiyokwakuwaimetumiafedha za Serikalikujengwanaikiharibikawananchiwatakosamawasiliano

MkuuwaWilayayaGeita, Mhandisi Charles Kabehoameahidikuwaatahakikishamiundombinuhiyoinalindwailiwananchiwanufaikenahuduma za mawasilianokwakuwahapoawalihapakuwanahuduma za mawasilianoilakwasasamtandaowa TTCL ukovizurinawananchiwanawezakupigasimundaninanjeya Tanzania

MtendajiMkuuwaMfukowaMawasilianokwaWote (UCSAF), Justina Mashibaamesemakuwa UCSAF inajukumu la kupelekamawasilianovijijiniambapompakasasa UCSAFinamiradiyaujenziwaminarayamawasilianosehemumbalimbalinchinikwenye kata 998 ambapohadisasaujenziumekamilikakwenye kata 903 ambapozaidiyawananchiwapataomilionitanowanapatahuduma za mawasiliano

ImetolewanaKitengo cha MawasilianoSerikalini,
WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.