Habari za Punde

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akizindua Kampeni za CCM Gairo.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Ilani ya CCM ya mwaka 2020/25 kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Gairo alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Kampeni katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Gairo (B) Mkoani Morogoro leo September 01,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Gairo kwenye uzinduzi wa Kampeni kwa Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa wa Morogoro kwenye viwanja vya Shule ya Gairo (B) Mkoani Morogoro leo 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.