Habari za Punde

TANZIA: MWANAMUZIKI MZEE SAIDI MABERA WA MSONDO NGOMA MUSIC BAND AMEFARIKI MJINI DAR ES SALAAM .

wanamziki mahili mpiga gitaa Mzee Saidi Mabera amefariki dunia usiku wa jana kuamkia leo 29/09/2020 ,Saidi Mabera alikuwa mwanamuziki wa bendi kongwe barani afrika Msondo Ngoma Music band yenye makao yake nchi Tanzania,marehemu alijiunga na bendi hiyo mwaka 1973 na ajawahi kuhama ndiye mwanamziki pekee mkongwe nchini tanzania aliyeweka rekodi ya kutulia katika bendi moja bila kuhama,marehemu Saidi Mabera atakumbukwa daima katika mchango wake kimuziki na ustadi wake wa upigaji wa gitaa la solo.Mungu amlaze mahala pema pema peponi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.