Habari za Punde

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI - WILAYANI MSALALA

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akipokea tuzo ya COVID kwa niaba ya Rais kutoka kwa Katibu wa hamasa UVCCM, Clementina Felix, katika Kata ya Bulyanhulu, wilayani Msalala, katika mkutano wa kampeni, Oktoba 2, 2020
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akionesha tuzo ya COVID, aliyoipokea kwa niaba ya Rais kutoka kwa Katibu wa hamasa UVCCM, Clementina Felix, katika Kata ya Bulyanhulu, wilayani Msalala, katika mkutano wa kampeni
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Bulyanhulu, wilayani Msalala, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya stendi,
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akimnadi Diwani wa Kata ya Bulyanhulu, Shija Luyombya, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya stendi, wilayani Msalala, kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Msalala, Iddi Kassim Iddi.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Msalala, Iddi Kassim Iddi, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika Kata ya Bulyanhulu, wilayani Msalala, kwenye mkutano wa kampeni, Oktoba 1, 2020. Katikati ni Mgombea Udiwani wa Kata ya Bulyanhulu, Shija Luyombya
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Bulyanhulu, wilayani Msalala, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya stendi, Oktoba 2, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.