Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akiondoa kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Barabara ya Jumbi hadi Koani hadi Jumbe Wilaya ya Kati Unguja leo 2/10/2020. na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika eneo la Jumbi. barabara hiyo imejengwa na Kampuni MECCO Tanzania.
MWENGE WA UHURU WAZINDUA KITUO CHA POLISI NYAKITONTO KWA AJILI YA KUONGEZA
USALAMA
-
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ismail Alli Issu, amesema
uwepo wa miradi mingi yenye thamani kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya
Kasulu ni...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment