Habari za Punde

Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Mkutano wa Kampeni - Kata ya Nyaishozi , Wilayani Karagwe

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika kitongoji cha Nyange
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba George Ruhoro, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika viwanja vya Rulenge Stendi, wilayani Ngara. Septemba 30, 2020. Katikati ni Diwani wa Kata ya Rulenge, John Fabian
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.