MRAJIS wa NGOs
Zanzibar Ndg.Ahmed Khalid Abdalla, akizungumza katika mkutano wa uwasilishwaji wa
rasimu ya Mswaada wa sheria ya Jumuiya zisizo za kiserikali, uwasilishaji huo
uliofanyika katika ukumbi wa baraza la mji Chake Chake, chini ya usimamizi wa
mtandao wa asasi za kiraia Pemba (PASCO).
MMOJA wa wana NGOs
Mkoa wa Kusini Pemba Safia Saleh Sultani, akiwasilisha mawazo ya kundi lake
katika mkutano wa kupitia rasimu ya Mswaada wa sheria ya Jumuiya zisizo za
kiserikali, uwasilishaji huo uliofanyika katika ukumbi wa baraza la mji Chake
Chake, chini ya usimamizi wa mtandao wa asasi za kiraia Pemba (PASCO)
WASHIRIKI wa mkutano
wa kupitia wa uwasilishwaji rasimu ya Mswaada wa sheria ya Jumuiya zisizo za
kiserikali, wakimsikiliza mrajisi wa NGOs Zanzibar wakati wa uwasilishaji
rasimu hiyo, huko katika ukumbi wa baraza la mji Chake Chake, chini ya
usimamizi wa mtandao wa asasi za kiraia Pemba (PASCO).
BAADHI ya wanaasasi za kiraia Mkoa wa Kuisni Pemba, wakipitia uwasilishwaji wa rasimu ya Mswaada wa sheria ya Jumuiya zisizo za kiserikali, uwasilishaji huo uliofanyika katika ukumbi wa baraza la mji Chake Chake, chini ya usimamizi wa mtandao wa asasi za kiraia Pemba (PASCO).(Picha na Abdi Suleiman - PEMBA)
No comments:
Post a Comment