Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akitembelea majengo mapya ya Chuo Cha Amali Day Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt.Eng. Idriss Muslim Hija na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, hafla hiyo ya ufunguzi imefanyika katika chuo hicho Daya Mtambwe Pemba.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiondoa kitamba akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Chuo Cha Amali
Dayamtambwe na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi
Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma,hafla hiyo imefanyika leo.katika viwanja vya Chuo hicho leo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akisoma Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Chuo Cha Amali Dayamtambwe Wilaya ya Wete
na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi
na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki
Pembe Juma, hafla hiyo imefanyika leo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akitembelea Majengo ya Chuo cha Amali Dayamtambwe Wilaya ya Wete Pemba akipata
maelezo kutoka kwa Mshauri Elekezi wa Chuo Cha Amali Dayamtambwe.Eng. Mansoor
Mohammed Kassim, wakati akitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua leo
15/10/2020. Wilaya ya Wete Pemba
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akipata maelezo ya Boti ya Kisasa itakayotumika kwa mafunzo kwa Wanafunzi
watakaojiunga na Chuo hicho,kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya
Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Bakari Ali Silima (mwenye kipaza sauti) wakati
akitembelea darasa la masna (kulia kwa Rais) Waziri ya Elimu na Mafunzo ya
Amali Mhe.Riziki Pembe Juma.
KATIBU
Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt.Eng. Idriss Muslim Hija
akitowa maelezo ya Kitaalum ya Mradi wa Ujenzi wa Vyuo Vya Amali vya
Dayamtambwe Wilaya ya Wete Pemba na cha
Makunduchi Wilaya ya Kusiniu Unguja ufunguzi huo umefanyika katika vya Chuo cha
Amali Dayamtambwe leo.
WAZIRI
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma akizungumza wakati
wa hafkla ya ufunguzi wa Vyuo vya Amali vya Dayamtambwe Wilaya ya Wete Pemba na
Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja ufunguzi huo umefanywa kwa pamoja leo katika
Chuo cha Amali Dayamtambwe Wete Pemba na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani).
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akiwahutubia Wananchi katika viwanja vya Dayamtambwe Wilaya ya Wete Pemba
wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Vyuo vya Amali vya Dayamtambwe Wilaya ya Wete na
cha Makunduchi Kisongo Wilaya ya Kusini Unguja, uliofanyika leo katika
viwanja vya Dayamtambe Mkoa wa Kaskazini
Pemba.
BAADHI
ya Walimu na Wafanyakazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Chuo cha Amali Dayamtambwe Wilaya ya Chake
chake Pemba na Chuo cha Amali cha Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja, wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Chuo.
BAADHI
ya Wanafunzi na Wananchi wa Dayamtambwe Wilaya ya Wete Pemba wakifuatilia hafla
ya Ufunguzi wa Chuo Cha Amali Daya yamtambwe, uliofanyika katika viwanja vya
mpira Dayamtambwe Wilaya ya Wete Pemba
WANANCHI
wa Dayamtambwe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya
ufunguzi wa Chuo cha Amali cha Dayamtambwe Wilaya ya Wete Pemba leo 15/10/2020
No comments:
Post a Comment