Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Amefungua Jengo Jipya la Biashara la Maduka ya Kisasa la Michezani Mall Jijini Zanzibar leo.

 

Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wakihudhuria hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Biashara la Michezani Mall Jijini Zanzibar, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake na Kampuni ya Kichina ya CREJ. Mradi huo wa Maduka ya Kisasa ukiwa chini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiondoa kitambaa wakati akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo Jipya la Bishala la Maduka ya Kisasa la Michezani Mall na (kushoto kwake) Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi na Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Bi. Sabra Issa Machano na (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Dkt.Rashid Suleiman Mohammed

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akipiga makofi baada ya kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa jengo jipya la bishara la Michezani Mall (kushoto kwake) Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi na Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Bi. Sabra Issa Machano na (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Dkt.Rashid Suleiman Mohammed 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Biashara la Maduka ya Kisasa la Michezani Mall leo 5/10/2020. na (kushoto kwake) Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi na Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Bi. Sabra Issa Machano na (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Viongozi wengi wakipiga makofi baada ya kulifungua Jengo Jipya la Biashara la Maduka ya Kisasa la Michezani Mall leo 5/10/2020. na (kushoto kwake) Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi na Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Bi. Sabra Issa Machano na (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF.Bi. Sabra Issa Machano wakati akitembelea jengo hilo baada ya kulifungua rasmin leo.Michezani Mall.na (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.