Habari za Punde

Kazi imeanza Namba ya kupeleka kero zako

 

Toa kero yako inayokugusa katika taasisi au Ofisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na toa maoni yako nini kifanyike ili kuondoa kero hiyo.


Unaweza kutumia picha za matukio kama utakuwa na uthibitisho wa kero zako.


Tumia nambari yetu ya whatsapp 0626613318 kufikisha kero yako.


#kaziimeanza

1 comment:

  1. jina langu Mwanakhamis maulid iddi. nampongeza Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuteuliwa kwa kupata kura nyingi za nafasi ya Urais wa zanzibar. mimi ninaomba kuwa kuna baadhi ya wizara huwa Makatibu Muhtasi hatusaminiwi. kwa kuwa . tunapoomba mafunzo baadhi ya viongozi hua wanafanya ubaguzi, kwa kutoa nafasi za upendeleo. kuwapa wanaowataka tu.hata ikiwa kwa mwaka amehudhuria mara 2 mafunzo. tuliokuwa hatuna watetezi. hua hutupati fursa. ukiangalia tunajituma sana. katika kazi na chama chetu. tunakitumia kwa haki. tunaomba yarekebiishwe. tuthaminiwe. makatibu muhtasi,sio sisi walinzi wa ofisi tu. tunapoenda kusoma vyuoni, tunapata kila taaluma na sisi pia ni Maafisa wasitudharu. na kipaji chetu kinao
    ngezeka tukipata mafunzo. ahsante

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.