Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Refocus Afrika uliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo ambapo mazungumzo hayo yamegusia zaidi kuhusu masuala mbali mbali ya michezo,Filamu na Muziki hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu].18/11/2020.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.