Habari za Punde

Matukio ya Picha Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar leo 11/.11/ 2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi  akipokea Salamu ya Heshima kutoka kwa Gwaride Maalum la Kikosi cha FFU katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar.
Gwaride Maalum la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride Maalum la Kikosi cha FFU lililoandaliwa  kwa ajili ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar lililofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi  Chukwani Jijini Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid alipowasili katika viwanja vya Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar baada ya kumaliza kukagua Gwaride Maalum lililoandaliwa kwa ajili ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar leo akiwa na Spika wa Mhe. Zuberi Ali Maulid.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni baada ya kumaliza kukagua Gwaride Maalum la Kikosi cha FFU kwa ajili ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika leo 11/11/2020. akiwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika maandamano yakiongozwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid wakiingia katika ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa ajili ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi lililofunguliwa leo 11/11/2020.
Jaji Mkuu wa Zanzibar  Mhe Omarv Othman Makungu akiingia katiuka ukumbi swa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi  kuhudhuria ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kulihutubia leo jioni 11/11/2020.
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe Martin Ngonga akiingia katiuka ukumbi swa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi  kuhudhuria ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kulihutubia leo jioni 11/11/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.