RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Hospitali Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar akiwa katika ziara yake ya kushtukiza leo 18/11/2020, kuangalia hali halisi ya Hospitali hiyo na (kulia kwa Rais) Dk. Khamis Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar alipofanya ziara ya kustukiza leo , kujionea hali halisi ya utendaji kazi katika hospitali hiyo. (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Uunguzi Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg. Haji Nyonje na (kulia kwa Rais) Dk. Khamis Mustafa, wakati akitembelea sehemu ya mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali hiyo leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Huduma Ufundi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Eng.Mathna Kassim, alipotembelea chumba cha MRI
katika hospitali hiyo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo mchana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpa pole mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wagonjwa wa ajali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Ndg. Nassopr Mohammed Khatib alipotembelea wodiu hiyo wakati wa ziara yake katika hospitali hiyo leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpa pole mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wagonjwa wa ajali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Ndg. Nassopr Mohammed Khatib alipotembelea wodiu hiyo wakati wa ziara yake katika hospitali hiyo leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wauguzi na Madaktari wa Wodi ya Wagonjwa wa mifupa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo alipofanya ziara ya kustukiza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Daktari wa Macho katika hospitali ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar Dk. Slim Mgeni akitowa maelezo wakati wa ziara yake alipotembelea Kitengo cha Macho katika Hospitali hiyo leo
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar baada ya kumaliza ziara yake ya kustukiza leo 18/11/2020
No comments:
Post a Comment