Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Afanya Ziara Kutembelea Bandarei ya Malindi na Eneo la Ujenzi wa Bandari ya Kisasa Kwampiga Duri Maruhubi leo.g

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wafanyakazi wa Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar alipofanya ziara ya kustukiza katika Bandari ya Zanzibar leo mchana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Bandari Kuu ya Malindi leo akiwa katika ziara yale leo 3/11/2020 na (kulia kwa Rais) Mdhiniti wa Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar Ndg Majaliwa Abdalla Rashid
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akimsikiliza Mdhibiti wa Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar Ndg. Majaliwa Abdalla Rashid alipofanya ziara kutembelea Bandari hiyo leo 3/11/2020, kujionea utendaji kazi wa Shirika la Bandari Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Uendeshaji Ndg. Juma Sururu akitowa maelezo wakati wa ziara ya Mhe. Rais alipotembelea Bandari ya Zanzibar leo 3/11/2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Uendeshaji wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndg. Juma Sururu Juma , wakati akitembelea Bandari ya Zanzibar Malindi leo alipofanya ziara kutembelea Bandari hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar alipofanya ziara yake leo 3/11/2020, kutembelea bandari hiyo kujionea utendaji kazi wa Bandari ,aloshika kipaza sauti Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndg. Ali Haji Haji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar alipofanya ziara kutembelea eneo la ujenzi wa Bandari ya Kisasa Mpigaduri Maruhubi Jijini Zanzibar leo 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar alipofanya ziara kutembelea eneo la ujenzi wa Bandari ya Kisasa Mpigaduri Maruhubi Jijini Zanzibar leo 3/11/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.