Habari za Punde

Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari


 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akisoma majina ya Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Desemba, 2020 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU


Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).

Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.

1. Wizara ya Maji - Juma Aweso

2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa

3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama

4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima

5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila

6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba

7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako

8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki

9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas

10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo

11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko

12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani

13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho

14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.

15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce

16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene

17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu

18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile

19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango

20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi

21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi

22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa

23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika

Manaibu Waziri

1.Viwanda na Biashara - Kigahe Exaud Silaoneka

 2.Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Dkt.Angelina Mabula

3.Ofisi ya Waziri Mkuu, kazi, Vijana na Ajira - Katambi Pascal Patrobas

4.Mambo ya ndani ya nchi - Hamis Hamza Hamis

5.Fedha na Mipango - Mwanaidi Ali Hamis

6.Elimu Sayansi na Teknolojia - Kipanga Juma Omary

7.Ofisi ya Rais TAMISEMI - Dkt Festo John Lugange 

8.Nishati - Byabato Stephen Mjwahuka

9.Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala bora - Ndejembi Deogratias John

10.Mawasiliano na Telnolojia ya habari - Mhandisi Kundo Andrea Mathew

11.Mifugo na Uvuvi - Gekul Pauline Philipo

12.Madini - Ndulane Francis Kumba

13.Ujenzi - Mhandisi  Msongwe Godfrey Kasekenya

14.Ofisi ya Waziri mkuu wenye Ulemavu - Ummy Hamis Nderiananga 
 
15.Maji - Mhandisi Maryprisca Wilfred Mahundi

16..Habari, Umaduni,Sanaa na Michezo - Abdalah Ulega

17.TAMISEMI -  Silinde David Ernest

18.Kilimo -  Husein M.Bashe

19.Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, wazee na watoto - Dkt Godwin Molel ⁩
 
20.Katiba na Sheria - Pinda Geofrey Mizengo

21.Muungano na Mazingira - Mwita Waitara

22.Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki- William Tate Ole Masha

23.Maliasili na Utalii - Mary Francis  Masanja

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.