MWAKILISHI wa Jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake
Bakar Hamad Bakar wa kwanza kushoto, akimkabidhi mshikafedha wa kikundi cha
nguvu Haichezewi kilichopo Mvumoni Furaa, Sharifa Khatib na Mwenyekiti wake
Omar Said, fedha taslim shilingi laki mbili (200,000)pamoja na vifaa mbali
mbali vya vyenye thamani ya shilingi Milioni 2.9 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi
walioitoa kwa kikundi hicho.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MBUNGE wa Jimbo la Kojani Hamad Hassan Chande
kushoto akimkabidhi bati mmoja ya mwananchi wa shehia ya Kiuyu Kigongoni Tamimu
Ali Omar, ambaye nyumba yake ilipata mtihani hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment