Habari za Punde

Walengwa wa mpango wa kuimarisha familia Tumbe wapatiwa msaada wa saruji na mabati

MJUMBE wa Bodi wa shirika lisilo la kiserikali Zanzibar SOS Dk.Issa Seif Salim, akimkabidhi saruji mmoja ya walengwa wa mpango wa kuimarisha familia kutoka shehia ya Tumbe, kwa ajili ya ujnezi wa nyumba ya makaazi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MJUMBE wa Bodi wa shirika lisilo la kiserikali Zanzibar SOS Dk.Issa Seif Salim, akimkabidhi Bati mmoja ya walengwa wa mpango wakuimarisha familia, kwa niaba ya walengwa wenzake hafla hafla iliyofanyika Tumbe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

BAADHI ya walengwa wa mpango wa kuimarisha familia kutoka Tumbe, wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji kutoka SOS, wakisubiri kupatiwa saruji na bati.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.