Habari za Punde

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi yakutana na Uongozi wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango

Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Mh. Saada Mkuya Salum akihoji kitu wakati  kamati yake ilipokutana na Uongozi wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Ofisini kwao Vuga Mjini Zanzibar (kulia) Waziri ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali.
Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar wakiandika maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi walipofika Ofisini kwao Vuga.
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki ambae pia ni mjumbe wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Suleiman Haroub Suleiman akiuliza swali wakati kamati hiyo ilipokutana na Uongozi wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali akiieleza Kamati ya Bajeti ya Bazara la Wawakilishi mikakati waliyoandaa kuhakikisha Zanzibar Haitegemei Utalii tu kukuza uchumi wake

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango (Tehema) Rashid Said Rashid akieleza namna walivyojipanga kuhakikisho kodi zote zinalipwa kwa kutumia mtandao.

Picha na Makame Mshenga

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.