Habari za Punde

Makamu wa Rais, Mhe Samia awasili Zanzibar kufungua tamasha la Maonyesho ya Biashara kesho

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo Januari 05,2021,  kwa ajili ya kufungua Tamasha la Saba la Biashara linalotarajiwa kuanza kesho Januari 06,2021 katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.       (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.