Wachezaji wa Timu ya Simba na Mtibwa wakiwa
katika Uwanja wa Amaan wakisubiri kusalimiana na mgeni rasmin Waziri wa
Mawasiliani Usafirishaji na Uchukuzi Mhe.Rahma Kassim Ali (hayupo pichani)
wakati wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofanyika katika Uwanja wa Amaa
Jijini Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Simba Mzamiru Yassin
akijiandaa kuzuiya mpira huku mchezaji wa Mtibwa Ali Makarani akijiandaa
kumzuia wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika
katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Simba imeshinda bao 2-0.
MCHEZAJI wa Timu ya Simba Miraji Othman
akimpita mchezaji wa Timu ya Mtibwa Goerg William wakati wa mchezo wao wa
Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika usiku wa Amaan Timu ya Simba
imeshinda mchezo huo bao 2-0.
MCHEZAJI WA Timu ya Simba Mohammded Hussein
Shabalala akiondoa mpira golini kwake huku wachezaji wa Mtibwa wakijiandaa
kumzuiya, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa
Amaan Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0.
Wachezaji wa Timu ya Simba wakishangilia bao
lao la Pili lililofungwa na mchezaji Miraji Othman katika kipindi cha kwanza
cha mchezo huo, wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi.
MCHEZAJI wa Timu ya Simba na Mtibwa wakiwania
mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika usiku
katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Simba imeshinda mchezo huo bao
2-0.
BEKI wa Timu ya Simba Mohammed Hussein
Shabalala akimpita mchezaji wa Timu ya Mtibwa Goerg William wakati wa mchezo
wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan
Jijini Zanzibar Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0.
MCHEZAJI wa Timu ya Simba na Mtibwa wakiwania
mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika usiku
katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Simba imeshinda mchezo huo bao
2-0.
Wageni kutoka nje ya Tanzania wakifuatilia
Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup wakati wa mchezo wa Timu ya Simba na Mtobwa
uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Simba imeshinda mchezo huo
kwa bao 2-0.
No comments:
Post a Comment