Habari za Punde

Mchezaji Bora wa Michuano ya Mapinduzi Cup Francis Kahata Akinyakulia Kitita Cha Fedha Shilingi Laki Mbili Zilizotolewa na Shirika la Bima la Taifa

Mkurugenzi wa Masoko wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania Ndg.Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi zawadi Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Mchezaji wa Timu ya Simba Francis Kahata baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo huo uliofanyika jana usiku. katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Masoko wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania Ndg.Yessaya Mwakifulefule akimpongeza Mchezaji wa Timu ya Simba Francis Kahata baada ya kumkabidhi zawadi yake ya fedha taslim zilizotolewa na Shirika la Bima la Taifa Tanzania kwa Mchezaji atakayechaguliwa na Jopo la Makocha kuwa Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.