Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Ameyapokea Matembezi ya Maadhimisho ya Vijana wa UVCCM Katika Viwanja Vya Mao Zedung Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James alipowasili katika viwanja vya Mao Zedungu kwa ajili ya kuyapokea Matembezi ya Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Mustafa Idrisa Kitwana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa  ambae pia ni Waziri wa Vijana Habari Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Mwita Maulid alipowasili katika viwanja vya Mao Zedungu kwa ajili ya kuyapokea Matembezi ya Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiyapokea Matembezi ya Vijana wa UVCCM wakati wa maadhimisho ya matembezi hayo yaliofanyika katika viwanja vya Mao Zedung Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Tanzania ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe Samia Sulihu Hassan na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na (kuia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mwenyekiti wa UVCCM Ndg. Kheri James, Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Mhe. Tabia Mwita Maulid na Katibu Mkuu wa UVCCM nDG.Raymond Mwangwala. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.