Habari za Punde

Baraza la Mji Chake Chake lafanya zoezi la usafi Hospitali ya Vitongoji

MKURUGENZI wa Baraza la Mji Chake Chake Salma Abuu Hamad, akiungana na vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Chake Chake(UVCCM), wakati wa zoezi la ufanyaji wa usafi katika Hospitali ya Vitongoji Wilaya hiyo, ikiwa ni shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKURUGENZI wa Baraza la Mji Chake Chake Salma Abuu Hamad, akimbeba moja ya mtoto aliezaliwa usiku wa kuamkia Januari 10 katika Hospitali ya Vitongoji Wilaya ya Chake Chake, wakati wa zoezi la ufanyaji wa usafi katika hospitali hiyo zoezi lililofanywa na UVCCM Wilaya hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.