RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Kiongozi wa Masjid Rahman Kijiji Sheikh Yahya Hassan
alipowasili katika viwanja vya Masjid hiyo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa
iliofanyika leo 22-1-2021
Khatibu akitowa hutuba ya Ijumaa kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wakati wa Ibada hiyo iliofanyika katika Masjid Rahman Kijichji Wilaya ya Magharibi "B" Unguja, leo na Kuwaasi Waumini kutekelea Maamrisho ya Mtume wetu Muhammad (SAW) katika Sala hiyo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini katika Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na kuwasalimia Waumini wa
Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahman
Kijichi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia
kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid
Rahman Kijichi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa
Sala ya iliofanyika katika Masjid Rahman Kijichi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
leo.

leo 22-1-2021.
No comments:
Post a Comment