RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais)
alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na
Ujumbe wake pamoja na Naibu Waziri wake Mhe.Willium Tate Ole

Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Palamagamba Kabudi, alipofiki Ikulu Jijini
Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Naibu Waziri wake Mhe.
Willium Tate Ole, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais)
alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na
Ujumbe wake pamoja na Naibu Waziri wake Mhe.Willium Tate Ole
No comments:
Post a Comment