Habari za Punde

Timu ya Benki ya NMB na ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Washerehekea Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.

Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB wakipasha misuli kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Kirafiki wa kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, katika mchezo huo Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda bao 1-0.
Wachezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakipasha misuli kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Kirafiki wa kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, katika mchezo huo Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda bao 1-0.
Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB wakipasha misuli kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Kirafiki wa kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, katika mchezo huo Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda bao 1-0.
Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB wakipasha misuli kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Kirafiki wa kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, katika mchezo huo Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda bao 1-0.
Mgeni rasmin wa mchezo wa kirafiki wa kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akiwa na Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Ndg. Abdalla Duchi (kushoto) na kulia Meneja wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Ndg Dau wakienda kuzikagua Timu hizo kabla ya kuaza kwa mchezo wa Kirafiki wa Timu za Benki ya NMB na Baraza la Wawakilishi Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Mgeni rasmin wa mchezo wa kirafiki wa kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB kabla ya kuaza kwa mchezo wa kirafiki uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda bao 1-0. 
Mgeni rasmin wa mchezo wa kirafiki wa kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wa kirafiki uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda bao 1-0. 
Mgeni rasmin wa mchezo wa kirafiki wa kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB kabla ya kuaza kwa mchezo wa kirafiki uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda bao 1-0. 
Mgeni rasmin wa mchezo wa kirafiki wa kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wa kirafiki uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda bao 1-0. 
Mgeni rasmin wa mchezo wa kirafiki wa kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB na Baraza la Wawakilishi Zanzibar  kabla ya kuaza kwa mchezo wa kirafiki uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda bao 1-0. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.