BAADHI ya wakuu wa vitengo na wafanyakazi wa Ofisi
ya Rais Fedha na Mipango Pemba, wakifuatilia hafla ya makabidhiano ya Ofis,
kutoka kwa aliyekuwa afisa mdhamini Ofisi hiyo Ibrahim Saleh Juma, kwenda kwa
afisa Mdhamini Mpya wa Ofisi hiyo Abdulwahab Said Abubakar, hafla iliyofanyika
katika ukumbi wa Wizara hiyo Gombani.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
AFISA mdhamini Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Uchukuzi Pemba Ibrahim Saleh Juma, akizungmza katika hafla ya kukabidhi ofisi
Rais Fedha na Mipango Pemba kwa mdhamini mpya wa Wizara hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
AFISA Mdhamini wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Uchukuzi Pemba Ibrahim Saleh Juma (kushoto), akimakibidhi Ripoti ya utekelezaji
wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Pemba, kwa afisa Mdhamini wa Ofisi hiyo
Abdulwahab Said Abubakar (kulia)hafla ya makabidhiano ya Wizara hiyo
yamefanyika Gombani Chake Chake.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
AFISA Mdhamini wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Uchukuzi Pemba Ibrahim Saleh Juma (kushoto), akimakibidhi katiba ya Zanzibar kwa
afisa Mdhamini wa Ofisi hiyo Abdulwahab Said Abubakar (kulia)hafla ya
makabidhiano ya Wizara hiyo yamefanyika Gombani Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment