Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmin Kituo Kikuu cha Mabasi cha Dar es Salaam Louis Leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo.
Mbunge wa Kibamba Mhe Issa Mtemvu akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kumkubalkia kumpa ardhi yenye hekta 52 wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubuia wakati akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo.
 Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo Februari 24, 2021.
PICHA NA IKULU.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.