Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi Amtembelea Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani Kwake Kama.

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Kama kumtembelea na kuzungumza nae leo 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais wa Mstaaf, alipofika kumtembelea na kuzungumza nae nyumbani kwake Kama.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.