Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Amezindua APP ya Sema na Rais Mwinyi SNRMWINYI Kuwasilisha Malalamiko Yako Kupitia Simu yako.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Bi. Suzan Kunambi, Mkurugenzi wa Rahisi Bw.Abdulrahman Hassan na Mkurugenzi wa Com.Net.Bw. Mohammed Othman, walipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa APP ya  Sema na Rais Mwinyi ( SNRMWINYI ) iliozinduliwa jana usiku 27-2-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Hoteli ya Verde kuhudhuria Uzinduzi wa APP ya SNRMWINYI, wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Rahisi.Bw. Abdulrahman Hassan  na Mkurugenzi Com.Net.Bw. Mohammed Othman na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
MKURUGENZI wa Rahisi Bw.Abdulrahman Hassan akitowa maelezo ya APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNRMWINYI ) kabla ya Uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, jinsi ya kujiunga na App hiyo kwa ajili ya kuwasilisha malalamiko yako ili kuchukuliwa hatua na Taasisi husika, uzinduzi huo umezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi. jana usiku.27-2-2021
BAADHI ya wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa APP ya Sema na Rais Mwinyi  (SNRMWINYI ) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar jana usiku, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Rahisi Bw, Abdulrahman Hassan (hayupo pichani) akitowa maelezo jinsi ya kujiunga na kuwasilisha malalamiko yako kwa Taasisi husik
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya jinsi ya kujiunga na APP ya Sema na Rais Mwinyi ( SNRMWINYI ) wakati Mkurugenzi wa RAHISI Bw. Abdulrahman Hassan akitowa maelezo kabla ya Uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkurugenzi wa Com.Net Bw. Mohammed Othman na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
MKURUGENZI wa Rahisi Bw.Abdulrahman Hassan akitowa maelezo ya APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNRMWINYI ) kabla ya Uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, jinsi ya kujiunga na App hiyo kwa ajili ya kuwasilisha malalamiko yako ili kuchukuliwa hatua na Taasisi husika, uzinduzi huo umezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi. jana usiku.27-2-2021
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi kuizindua APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNR MWINYI) hafla hiyo imefanyika jana usiku katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akisistiza jambo wakati akizundua APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNR MWINYI ) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika jana usiku 27-2-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNRMWINYI) kuwasilisha kero za Wananchi kupitia APP hiyo SNRMWINYI na kuwafikia wahusika, uzinduzi huo umefanyika jana usiku 27-2-2021 katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNRMWINYI) kuwasilisha kero za Wananchi kupitia APP hiyo SNRMWINYI na kuwafikia wahusika, uzinduzi huo umefanyika jana usiku 27-2-2021 katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa IPAD ya Sema na Rais Mwinyi (SNRMWINYI ) baada uzinduzi huo akikabidhiwa na Mkurugenzi wa Com .Net.Bw.Mohammed Othman. Wakati wa hafla hiyo iliofanyika jana usiku 27-2-2021 katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNR MWINYI ) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizindua APP ya SNRMWINYI, katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar jana usiku 27-2-2021

MWENYEKITI wa Rahisi Mhe. Toufiq Salim Turky akizungumza na kutowa neno la shukrani wakati wa hafla ya Uzinduzi wa APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNRMWINYI) iliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar jana usiku.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Rahisi Mhe. Toufiq Salim Turky, baada ya uzinduzi wa APP ya Sema na Rais Mwinyi kuwasilisha Kero za Wananchi kupitia njia ya Simu za mikononi kutuma ujumbe wao na kuwafikia wahusika, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Rahisi Bw. Abdulrahman Hassan na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
WAGENI waalikwa wa hafla ya Uzinduzi wa Sema na Rais Mwinyi (SNRMWINYI) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Rahisi Mhe.Toufiq Salim Turky,(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo akitowa neno la shukrani  wakati wa kumalizika kwa uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya verde mtoni jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.