VIONGOZI wa Asasi za kiraia Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuatilia kwa makini mkutano wa kuboresha sheria ya Jumuiya zisizo za kiserikali Zanzibar, mkutano ulioandaliwa na PACSO na kufanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MRAJIS wa jumuiya zisizo za kiserikali Zanzibar
Ahmed Khalid Abdalla, akizungumza katika mkutano wa siku mbili juu ya kuboresha
sheria ya Jumuiya zisizo za Kiserikali Zanzibar, mkutano uliofanyika mjini
Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Wete Mgeni Khatib Yussuf akihairisha
mkutano wa siku mbili juu ya kuboresha sheria za jumuiya zisizo za kiserikali
Zanzibar, mkutano ulioandaliwa na PACSO na kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment