Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Alihutubia Bunge Jijini Dodoma 22-4-2021.

RAIS Mstaaf wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiwa na Marais Wastaaf wakielekea katika ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Jijini Dodoma.wakati wa hafla ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika paredi ikiongozwa na Mhe Hassan Zungu wakielekea katika ukumbi wa Bunge wakati wa hafla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika paredi ikiongozwa na Mhe Hassan Zungu wakielekea katika ukumbi wa Bunge wakati wa hafla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiingia katika ukumbi wa Bunge kwa paredi kwa ajili ya kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akiingia katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kulihutubia Bunge na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiingia katika ukumbi wa Bunge kwa paredi kwa ajili ya kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma

SPIKA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akitowa maelezo baada ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma na (kulia kwake) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Prof, Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia
WABUNGE wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa wamesimama wakati ukupigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan. kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini DodomaMKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma na (kulia kwake) Mke wa Rais wa Kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere,  Mama Maria Nyerere na Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe Ali Hassan, Mama Siti Mwinyi na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Rais wa Tanzania Mama , wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akilihutubia Bunge Jijini Dodoma.

 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.