Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM (Bara) Rodrick Mpogolo akizungumza
katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC)
kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama, White House Jijini Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa
na Mjumbe wa NEC Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein
pamoja na Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara Philip Mangula.
Mjumbe
wa NEC Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akiwa katika kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha
Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao
Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa katika kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment