Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Amewata Wafanyakazi na Viongozi wa Ofisi Yake Kushirikiana. 

Na Raya Hamad – OMKR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Othman Masoud Othman amewahimiza watendaji wa Ofisi yake kuwa na mashirikiano ya pamoja katika kutekeleza majukumu ya kazi zao ili kuwe na ufanisi mzuri wa kazi wanazozifanya

Mhe Othman ameeleza hayo alipokutana na watendaji wakuu na wakuu wa vitengo na divisheni wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi na Idara ya Mipango  Sera na Utafiti na kuwataka kushirikiana na taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais ili kuwe na msimamo na maamuzi ya pamoja kwa kila hatua

Aidha Mhe Masoud amewakumbusha watendaji wa Ofisi kuwa wabunifu ili watakapo ondoka waache kumbukumbu nzuri kwa Taasisi na wanaowaogoza pamoja na kufahamu kuwa kazi yeyote inahitaji kujitolea ili kuyafikia mazuri, kuwa tofauti kwa kutokukata tamaa kulingana na rasilimali zilizopo

Amefahamisha kuwa katika kuongoza wafanyakazi kiongozi lazima afahamu sheria za utumishi mfanyakazi anapofanya vizuri kumzawadia na kuwapa heshima yao kwani haki na wajibu ni mambo yanayokwenda sambamba hasa katika utendaji

Viongozi wanatakiwa kusimamia sheria na taratibu hivyo Wafanyakazi wapewe heshima yao,  kusimamiwa haki zao ,  wajibuwaowakufanyakazinakupewamaslahiyaoambayowanastahikijamboambalolimeondokakatikautamaduniwakufanyakazi

‘ImeshakuwanimazoweanatabiayakuwafanyawatumishiwaSerikaliniwatumwawaSerikalinimuhimuhakiifuatanenawajibuhatakamanikidogo’ alisisitizaMakamuwa Kwanza waRais

Makamuwa Kwanza waRaisMheMasoud Othman MasoudamesisitizaumuhimuwawananchikuelewamajukumuyaOfisiyakenataasisizilizochiniyakeiliwafahamuyaleyanayotekelezwakwakuoneshasurayahalisiyaOfisi

Kuhususuala la kiutendajiamewaagizaviongozikuonakilamfanyakazianawajibikanakufahamumajukumuyakeyamsingikwanimabadilikohayawezikutokeabilayakuwepouwajibikajinakuwatakakuachakufanyakazikwamazoeabaliwaendanenakasiyamabadilikoyautendaji

‘mfanyakaziusisubirikuulizwajambohili la kiutendajilimefikiawapi?wakatiunafahamukuwailikaziziendeleeniwajibuwakokutekelezamajukumuyakopamojanakuwambunifukatikakazizenu’

KatibuMkuu Bi Khadija KhamisRajab ameombawatendajinawakuuwavitengokuhakikishamaelezoyaliyotolewanaMakamuwa Kwanza waRaisMhe Othman Masoud Othmankuwayanazingatiwanayanafanyiwakazikwakilammojakufahamumasualayamsingikwalengo la kuletaufanisi .

AidhaameahidikuwaOfisiyaMakamuwa Kwanza waRaisitaendeleakuwekamazingiramazuriyaOfisikwakuzingatiamaelekezoyaliyotolewaikiwanikufanyakazikwabidiikuwajibika, kufuatasherianataratibunakuzawadiawafanyakazi pale panapostahiki.

Nao WakurugenziwaOfisiyaMakamuwa Kwanza waRaiswameahidikufanyakazikwapamojailikufikiamalengokatikakushughulikiamasualayaoyakiutendajipamojanakuhakikishawanasimamiavyemamaslahiyawatumishi, kufikishahudumakwawananchiwanaowahudumianakuunganishataratibuzauratibuza sera nautafiti

MheMakamuwa Kwanza waRaisamekamilishaziarayakekwaUngujana Pemba kwakuzipitiaTaasisizilizochiniyakenakumaliziaOfisiKuuUngujakuzungumzanawatendajiwakuunawakuuwavitengowaIdarayaUendeshajinaUtumishi, IdarayaMipango Sera naUtafitikatikaukumbiwamkutanouliopoOfisinikwakeMigombani

OfisiyaMakamuwa Kwanza waRaisinajukumu la kuratibu mambo yoteyanayohusuOfisiyaFaraghanaMakamuwa Kwanza waRais, KuratibumasualayaUendeshajinaMipagoyaOfisi, KuratibumasualayaWatuwenyeUlemavu, KusimamiamasualayaMazingira, KuratibunakusimamiamasualayaVirusivyaUkimwinaUkimwi, KuratibumasualayaUdhibitiwaDawazaKulevya.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.