Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Mabodi Apokea Pikipiki Kutoka kwa Mwakilishi wa Viti Maalum Watu Wenye Ulemavu na Kukabidhi Kwa Makatibu wa Majimbo ya Mkoa wa Kusini Unguja

Naibu Katibu Mkuu  CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi akizungumza na makatibu wa majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa makabidhiano ya pikipiki kwa ajili ya shughuli za chama kutoka kwa Mwakilishi wa viti maalum ( watu wenye ulemavu) Mwantatu Mbaraka Khamis yaliyofanyika Ofisi za Chama Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja .
 Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi (wa pili kushoto) akiwapatia maelekezo makatibu wa jimbo la Uzini kuhusu pikipiki walizokabidhiwa kwaajili ya shughuli za chama  kutoka  kwa Mwakilishi wa viti maalum (watu wenye ulemavu) Mwantatu Mbaraka Khamis huko Ofisi za Chama Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Naibu Katibu Mkuu  CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi (wa pili kushoto) akimkabidhi Katibu wa Jimbo la Chwaka  fedha taslim kwaajili ya mahitaji madogo madogo ya pikipiki walizokabidhiwa kwa matumizi ya kazi za chama kutoka  kwa Mwakilishi wa viti maalum (watu wenye ulemavu) Mwantatu Mbaraka Khamis  huko Ofisi za Chama  Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja .
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi (wa pil kushoto) akiwapatia maelekezo makatibu wa jimbo la Tunguu  kuhusu pikipiki walizokabidhiwa huko Ofisi za Chama Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi (wa pili kushoto) akiwapatia maelekezo makatibu wa jimbo la Paje   kuhusu pikipiki walizokabidhiwa kwaajili ya kazi za chama  huko Ofisi za Chama Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Picha na Fauzia Mussa  - MAELEZO ZANZIBAR.   05/04/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.