Katibu wa Jimbo la Chwaka Shishi Kapilili Mlepa akiwahimiza wana CCM kujitokeza katika uchukuaji wa fomu ya Udiwani kujaza nafasi ya aliekuwa Diwani wa Jimbo hilo wakati alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusiana na zoezi la uchukuaji wa fomu ya udiwani kufuatia aliekua Diwani wa Jimbo Hilo Malenge Khatib Malenge kufariki dunia kwa ajali siku chache zilizopita .
PICHA NA FAUZIA MUSSA / MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment