Mwakilishi wa viti maalum (watu wenye ulemavu) Mwantatu Mbaraka Khamis akimkabidhi tangi la kuhifadhia maji na mashine ya kupandishia maji Katibu wa kikundi cha hamasa Jimbo la Chwaka Mohammed Hassan Ukusi kwajili ya kuendeleza kilimo cha mboga mboga, vifaa vilivyogharimu shilingi milioni moja.
Mwakilishi wa viti maalum (watu wenye ulemavu) Mwantatu Mbaraka Khamis akimkabidhi fedha taslim shilingi laki moja na ishirini Katibu wa kikundi cha hamasa Jimbo la Chwaka Mohammed Hassan Ukusi kwajili ya kununulia ngoma za kutumia katika shughuli zao za uhamasishaji.
Mwakilishi wa viti maalum (watu wenye ulemavu) Mwantatu Mbaraka Khamis akimkabidhi tangi la kuhifadhia maji na mashine ya kupandishia maji Katibu wa kikundi cha hamasa Jimbo la Chwaka Mohammed Hassan Ukusi kwajili ya kuendeleza kilimo cha mboga mboga, vifaa vilivyogharimu shilingi milioni moja.
PICHA NA FAUZIA MUSSA / MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment