Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuikka na Waumini wa Kiislam Katika Sala ya Isha na Tarawekh Katika Masjid Assalaam Mlandege Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Assalaam Mlandege Jijini Zanzibar alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Insha na Tarawekh iliofanyika katika Masjid hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Assalaam Mlandege Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Assalaam Mlandege Sheikh Abubakar Mbarak Mumin (kulia kwa Rais)  baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 15-4-2021,katika Masjid Assalaam na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Imamu Mkuu wa Masjid Asaalaam Mlandege Sheikh Abubakar Mbarak Mumin, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika masjid hiyo 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Imamu Mkuu wa Masjid Asaalaam Mlandege Sheikh Abubakar Mbarak Mumin, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika masjid hiyo jana usiku 15-4-2021.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.