Habari za Punde

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MAGARI CHA BM MOTORS NA KIWANDA CHA MADAWA KAIRUKI, KIBAHA MKOANI PWANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye basi, lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors, kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, kinachomilikiwa na Mtanzania Bw. Jonas Nyagawa 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua basi, lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors, kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, kinachomilikiwa na Mtanzania Bw. Jonas Nyagawa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amekaa kwenye basi, lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors, kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, Aprili 27, 2021. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Bw. Jonas Nyagawa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia basi, lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors, kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, kinachomilikiwa na Mtanzania Bw. Jonas Nyagawa 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Meneja wa Kiwanda cha Madawa cha Kairuki, Ellen Magita, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.