Habari za Punde

Mhandisi Migodi STAMICO aibuka mfanyakazi bora 2021

Mhandisi Migodi kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Peter Maha ameibuka mfanyakazi bora na kujinyakulia kitita cha shilingi milioni moja kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei Mosi 2021 yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba Wilaya Ilemela mkoani Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.