Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja alipofika kuwatembelea na kuwapa Mkono wa Eid El Fitry.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii
WAZEE wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar wakimsikiliza Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika kuwatembelea na
kutowa mkono wa Eid El Fitry katika makazi yao Welezo.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsalimia na kumpa mkono wa
Eid El Fitry mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar,
alipofika kuwatembelea katika makazi yao Welezo Wilaya ya Magharibi A Unguja.

MTOTO wa Rais wa Zanzibar Siti Hussein Mwinyi akimsalimia mmoja wa
Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar na kumpa mkoni wa Eid El
Fitry, akijumuika na Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) walipofika katika
makazi yao kwa ajili ya kuwasalimia na kutoa mkono wa Eid
MTOTO wa Rais wa Zanzibar Jamila Hussein Mwinyi akimsalimia mmoja wa
Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar na kumpa mkoni wa Eid El
Fitry, akijumuika na Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) walipofika katika
makazi yao kwa ajili ya kuwasalimia na kutoa mkono wa Eid
MTOTO wa Rais wa Zanzibar Tariq Hussein Mwinyi akimsalimia mmoja wa
Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar, na kutowa mkoni wa Eid El
Fitry akijumuka na Mama yake Mariam Mwinyi(hayupo pichani) walipofika katika
makazi yao Welezo.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja
na Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza
kuwasalimia na kutowa mkono wa Eid El Fitry akiongozana na Wanawe, walipofika
katika makazi yao Welezo Wilaya ya Magharibi A Unguja.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia na kuzungumza na
Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar alipofika kuwatembelea na
kutowa mkono wa Eid El Fitry.
WAZEE wa Nyumba za Wazee Sebleni wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) akiwasalimia wakati alipofika kuwatembelea
na kutowa Mkono wa Eid El Fitry, katika makaazi yao Sebleni Jijini Zanzibar.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitowa mkono wa Eid El Fitry
kwa Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, alipofika kuwasalimia
katika makazi yao.

katika makazi yao

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam MWinyi akiwa katika picha ya pamoja
na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, baada ya kuwasalimia na
kutowa mkoni wa Eid El Fitry kwa Wazee hao alipofika katika makazi yao
No comments:
Post a Comment